HIVI HAPA VIGEZO VYA KUPEWA KITAMBULISHO CHA URAIA.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote
wakazi wa Dar es salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya vitambulisho vya uraia
siku ya maonyesho ya sababa ya 41 yanayotarajiwa kufanyikia katika viwanja vya
Mwalimu Nyerere jijini DSM.
Aidha,taarifa hiyo imeeleza kwamba usajili huo utafanyikia
kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi Julai 10 mwaka huu.
==>Taarifa ya NIDA
No comments