MULTCHOICE, MISA-TAN NA BOSI WA TAKUKURU WAICHANGIA SERENGETI BOYS U17 MIL 12
Waziri
wa Habari, Utamaduni, sanaa
na michezo Dkt harrison mwakyembe akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati akipokea msaada kutoka kwa wadau mbalimbali
kuchandia timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 (serengeti boys) ambao
wanawakilisha taifa nchini Gabon
Waziri
wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dkt harrison mwakyembe Mkurugenzi
akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh mil 10 na mkurugenzi wa idara
ya habari maelezo dkt abbas hasani kwa niaba ya kampuni ya multchoise Tanzania,
katikati ni kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika
Tawi la Tanzania (Misa-Tan) Bi Salome kitomary.
Waziri wa habari,
utamaduni, sanaa na michezo Dkt harrison mwakyembe Akipokea fedha taslimu mil 1
kutoka kwa kaimu mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika
Tawi la Tanzania (Misa-Tan), Bi Salome kitomary kuchangia timu ya taifa ya
vijana U17 (Serengeti boys).
Pia
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dkt harrison mwakyembe Amekabidhiwa fedha taslimu mil 1 kwa niaba ya mkurugenzi wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na
Rushwa (TAKUKURU) Bwana VALENTINO MLOWOLA.
No comments