KUMBUKUMBU YA MIAKA 21 TANGU KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA MEI 21, 1996
KIUKWELI
tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita haitoweza kusahaulika kirahisi kwenye
mioyo ya Watanzania na Ulimwenguni kote, kwani usiku wa kuamkia Mei 21, 1996.
Meli ya MV Victoria ikiwa na abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37
ilizama majini kwenye Ziwa Victoria mwambao wa Bwiru Jijini Mwanza ambapo
ilikuwa takribani kilomita 30 kufika nchi kavu.
Meli ya MV Bukoba ikwa Ziwa Victoria wakati ilipokuwa ikitoa huduma ya usafirishaji kabla ya kuzama.
No comments