VIDEO: MAALIM SEIF AKIFUNGUKA SIMTAMBUI LIPUMBA NA HANA UWEZO WA KUNITOA. MI NDO KATIBU MKUU HALALI WA CUF
Jana Katibu
mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif alifanya mahojiano na kituo cha
Television cha Azam two na kusema hamtambui mwenyekiti wa chama hicho Pro.
Ibrahim Lipumba pamoja na uwamuzi aliochukuwa wakumuweka kando na nafasi yake
kukaimiwa na Magdalena Sakaya.
Malim Seif
alisema hawezi kwenda ofisi za Buguruni kwa kuwa makao makuu ya chama
hicho yapo Zanzibar na sio Dar es Salaam
==>Msikilize
hapo chini akiongea
No comments