VIDEO: HALI ILIVYOKUWA BAADA YA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KUTAMBULISHWA LEO BUNGENI

Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
umeanza leo Dodoma. Mkutano huu ni kwa ajili kupitisha bajeti ya Serikali
itakayowasilishwa bungeni June 15 mwaka huu.
Hapa chini kuna video fupi ya Wabunge wakishangilia baada ya
Spika Ndugai kutambulisha uwepo wa Rais Mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete
bungeni.
No comments