SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA RAIS WA TLS, TUNDU LISSU

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria wa
Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu walipofika na Ujumbe kutoka TLS kumtembelea
ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma

Rais wa Chama cha
Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu akimueleza jambo Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai alipofika kumtembelea
Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS.

Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Rais wa Chama
cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake
walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.


Rais wa Chama cha
Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu akimuonesha kitabu chenye
nyaraka kadhaa za Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai alipofika kumtembelea Ofisini
kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS.

Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea kitabu chenye nyaraka kadhaa
za Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS)kutoka kwa Rais wa chama hicho
Mhe.Tundu Lissu wakati viongozi wa Chama hicho walipofika kumtembelea Ofisini
kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS.
No comments