MHE LOWASSA AMEANDIKA UJUMBE HUU… KIFATIA JINA LA GOFREY NGOYAI LOWASA KUWEPO KATIKA LIST YA WENYE VYETI FEKI
Toka
jana habari inayo Gonga vichwa vya watu ni kuhusu vyeti feki kubwa zaidi ni
Pale Jina la mtoto wa Lowassa kuwemo kwenye List ya wenye vyeti feki kiendo
ambacho kime Mfedhehesha sana Lowassa na kusema kuwa Hata lifumbia macho hili
swala la Mwanaye kuwekwa kwenye List ya vyeti feki
kupitia acount yake mhe Lowassa leo ameaidi kulitolea Ufafanuzi Jina la Godfrey Ngoyai Lowassa lililopo kwenye list ya
watu wenye vyeti feki Muda sio Mrefu
No comments