JARIDA LA TIMES LIMETAJA LIST YA WATU 1O0 WENYE USHAWISHI DUNIANI KWA MWAKA 2017
April 2017 Jarida la
Times limetoa list ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani ambapo Rais wa
Marekani Donald Trump ,Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Urusi Vladmir Putin
wametajwa kama Marais wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2017.
List hii pia ilitaja
wanamuziki kama John Legend,Chance the Rapa na Demi Lovato na kwa upande wa
wanawake jarida la Times imetaja wanawake 40 wenye ushawishi kwa mwaka 2017
ambapo mshindi wa Olimpiki 2016 simone Biles na Ivanka Trump ni miongoni mwao.
No comments