MAMA SAMIA AWATAKA WAFARANSA KUENDELEA KUWEKEZA TANZANIA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Maonyesho ya Jukwa la Wafanyabiashara baina ya Ufaransa na Tanzania jana Jijini
Dar es Salaam. Maonyesho hayo ya siku nne yanafanyika katika ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa.
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bibi.
Melika Berak akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Maonyesho ya Jukwa la
Wafanyabiashara baina ya Ufaransa na Tanzania jana Jijini Dar es Salaam.
Maonyesho hayo ya siku nne yanafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa. Kushoto
ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Balozi
wa Ufaransa nchini Tanzania Bibi. Melika Berak akizungumza wakati wa hafla ya
uzinduzi wa Maonyesho ya Jukwa la Wafanyabiashara baina ya Ufaransa na Tanzania
jana Jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo ya siku nne yanafanyika katika ukumbi
wa Makumbusho ya Taifa.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Sekta Binafsi
Tanzania (TPSF), Dkt. Reginald Mengi akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Maonyesho ya Jukwa la Wafanyabiashara baina ya Ufaransa na Tanzania jana Jijini
Dar es Salaam. Maonyesho hayo ya siku nne yanafanyika katika ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania
Bibi. Melika Berak wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Maonyesho ya Jukwa la Wafanyabiashara
baina ya Ufaransa na Tanzania jana Jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo ya siku
nne yanafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.Wapili kushoto ni
Mwenyekiti wa Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dkt. Reginald Mengi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akifafanua jambo alipokuwa akitembelea Banda
la Kampuni Mafuta ya Total wakati wa hafla ya uzinduzi wa Maonyesho ya Jukwa la
Wafanyabiashara baina ya Ufaransa na Tanzania jana Jijini Dar es Salaam.
Maonyesho hayo ya siku nne yanafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.
Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dkt.
Reginald Mengi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa
wafanyakazi wa Kitanzania anayefanya kazi katika Kampuni ya Ufaransa alipotembelea
mabanda wakati wa hafla ya uzinduzi wa Maonyesho ya Jukwa la Wafanyabiashara
baina ya Ufaransa na Tanzania jana Jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo ya siku
nne yanafanyika katika ukumbi
wa Makumbusho ya Taifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo alipotembelea banda la
Kampuni ya Supperdoll (wasambazaji wa Matairi aina Michellin) wakati wa hafla
ya uzinduzi wa Maonyesho ya Jukwa la Wafanyabiashara baina ya Ufaransa na
Tanzania jana Jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo ya siku nne yanafanyika
katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa. Kutoka kulia kwake ni Balozi wa Ufaransa
hapa nchini Melika Berak na Mkurugenzi Mtendaji wa Supperdoll Seif
Seif(kushoto).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mwenyekiti wa Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dkt.
Reginald Mengi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Maonyesho ya Jukwa la
Wafanyabiashara baina ya Ufaransa na Tanzania jana Jijini Dar es Salaam.
Maonyesho hayo ya siku nne yanafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bibi. Melika Berak wakati wa
hafla ya uzinduzi wa Maonyesho ya Jukwa la Wafanyabiashara baina ya Ufaransa na
Tanzania jana Jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo ya siku nne yanafanyika
katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.
Baadhi ya wafanyabiashara kutoka Ufaransa
wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Maonyesho ya Jukwa la Biashara baina
ya Ufaransa na Tanzania jana Jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo ya siku nne
yanafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments