AFANDE SELE AFUNGUKA JUU YA MKAKATI WA RC MAKONDA WA KOTOKOMEZA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DAR ES SALAAM.
Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa siku nyingi Tanzania
ambao wamekua wakifatilia pia na ishu za siasa na mengine yanayoendelea ambapo
leo hii ameandika kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyotangazwa na mkuu wa mkoa
Paul Makonda.
Afande ameandika "Katika hili sakata la MAPAPA na
MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama
tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana
wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee"
No comments