TAASISI YA TEACHER JUCTION YAWATAKA WALIMU KUJIDHATITI KATIKA TAALUMA YAO.
Akizungumza
katika semina fupi iliyoandaliwa na TEACHER
katika chuo cha vikindu mkoani pwani ,Mwenzeshaji mtendaji wa shule sekondari ya Mwandege Boys ENOCK
MRISHA Amesema endapo walimu
watajidhatiti katika taaluma yao suala ajira haitokuwa tatizo kwakua wanafursa
nyingi ,ni vyema wakajua sasa ualimu umeingia katika soko huria.
Kwa Upande mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Centennial Christian Seminali bwana PIUS BALIHUTA ameeleza kuwa ni vyema wananchi pamoja na walimu kuondoa dhana ya kuwa baada kukosa kila kimbilio liwe ualimu ambapo dhana hiyo inapunguza ufanisi wa kuwa mwalimu bora.
Hata
hivyo Taasisi ya inayoongeza thamani ya mwalimu TEACHER JUCTION pamoja na wakuu washule wanaofanya kazi nao
Wamewataka walimu watarajiwa walioko vyuoni
kujiandaa kuwa walimu watakaoshindana katika soko huria,hivyo waone
umuhimu TEACHER JUCTION kujiunga ili iwasaidie kuwauza katika shule binafsi
No comments