Breaking News

PADRI WA KANISA KATOLIKI KAHAMA NA WAUMINI SITA WAFARIKI KATIKA AJALI

Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Kanegere kata ya Bukandwe wilaya ya Mbongwe mkoani Geita.

Ajali hiyo imetoa Jumamosi Desemba 24,2016 majira ya saa 9 alasiri.

Habari kutoka eneo la tukio zinasema miongoni mwa watu waliofariki ni padri wa kanisa katoliki jimbo la Kahama mkoani Shinyanga anayedaiwa kuwabeba watu wanaosemekana kuwa ni waumini ambao baadhi yao wamefariki dunia.


Kaimu mganga wa hospitali ya wilaya ya Mbogwe,Salum Ndimu amekiri kupokea miili minne ya marehemu na majeruhi

No comments