Breaking News

TANZIA: ALIYEKUWA MEYA WA DAR NA MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI DR. DIDAS MASSABURI AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO.


Aliyewahi kuwa meya wa Dar es Salaam na mbunge wa Afrika Mashariki, Dr. Didas Massaburi amefariki dunia usiku usiku wa kuamkia Oktoba 13,2016  katika hospitali ya taifa Muhimbili mahali alikokuwa akipata matibabu yake.

No comments