RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUSHUHUDIA PEMBE ZA NDOVU 50 ZILIZOKAMATWA
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu Mkuu wa
Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi baada ya
kukagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni
maalum ya kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao
makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es
salaam leo Oktoba 29, 2016.
No comments