NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA, AKAGUA MAZINGIRA KATIKA SHULE YA TUSIIME
Naibu Wziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina alipokuwa akifanya ziara ya kukagua
mazingira katika shule ya secondary Tusiime iliyopo tabata jijini Dar es salaam
mara baada ya kupata malalamiko kutoka kwa wananchi ya utililishaji maji taka kwenye
makazi ya watu kutoka shuleni hapo.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
na Mazingira Mh.Luhaga Mpina (katikati) akipata maelezo ya jinsi gani mfumo wa utililishaji maji taka unavyofanya kazi katika shule ya
secondary Tusiime.
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akizungumza na waandishi wa habari mara
baada ya kuipiga faini ya million kumi shule ya secondary Tusiime iliyopo Tabata
jijini Dar es salaam kwa uchafuzi wa mazingira
No comments