Breaking News

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI NA VIONGOZI WA MANISPAA YA ILALA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Julius Kambarage Nyerere baada ya kuzngumza na Viongozi na Watumishi wa Manispaa ya Ilala Agosti 18, 2016. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (kulia kwake), Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam, Teresia Mmbando (kushoto) , Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam, Ramadhani Madabida (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sophia Mjema .Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es salam kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.Baadhi ya Viongozi na watumishi wa Manispaa ya Ilala wakisikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.Baadhi ya Viongozi na watumishi wa Manispaa ya Ilala wakisikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.

No comments