MWENYEKITI WA BODI YA PAROLE MHE MREMA, AKUTANA NA WAKAZI WA TANDALE UWANJA WA FISI NA KUZUNGUMZA NAO JUU YA CHAMAMOTO ZINAZOWAKABILI
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akisisitiza
jambo kwa wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati
alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina
mama.
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine
Mrema akisisitiza jambo kwa wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja
wa Fisi wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao
hasa akina mama katikati ni mjumbe wa Bodi hiyo Bi. Teddy Killa na mwisho kulia
ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende
Mjumbe wa Bodi ya Parole akizungumza na wananchi
wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi
hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili
wakazi hao hasa akina mama, kulia ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende
Wanancihi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale
Uwanja wa Fisi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt.
Augustine Mrema (hayupo pichani) wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali
zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
Msoma Risala
kwa niaba ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati
Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero
mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
Mkazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya
Tandale Uwanja wa Fisi akimueleza Mwenyekiti wa
Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema kero mbalimbali zinazowakabili hasa akina
mama wakati Mwenyekiti huyo alipowatembelea mapema hii leo
No comments