LAPF YAWAPIGA MSASA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MAANDALIZI KABLA YA KUSTAAFU
Meneja
Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za
Mitaa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza wakati wa semina na wahariri wa
Vyombo vya habari mbalimbali kuhusu maandalizi ya mafao ya kustaafu
inayofanyika kwenye jengo la LAPF Tower Makumbusho jijini Dar es salaam,
ambapo mada mbalimbali zimetolewa kuhusu mafao yanayotolewa na mfuko
huo Kutoka kulia ni Kafiti Kafiti Afisa Matekelezo Mwandamizi Kanda ya
Mashariki LAPF, Amina Kassim Meneja wa Kanda LAPF.
Meneja
Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za
Mitaa LAPF Bw. James Mlowe akizungumzawakati wa semina ya wahariri wa
Vyombo vya habari mbalimbali kuhusu maandalizi ya mafao ya kustaafu
inayofanyika kwenye jengo la LAPF Tower Makumbusho jijini Dar es salaam,
Kutoka kulia ni Kafiti Kafiti Afisa Matekelezo Mwandamizi Kanda ya
Mashariki LAPF, Amina Kassim Meneja wa Kanda LAPF, Theophil Makunga
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na kushoto ni Victor Kikoti Meneja
Matekelezo LAPF.
Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika semina hiyo inayofanyika kwenye jengo la LAPF Tower jijini Dar es salaam.
Afisa
Habari wa LAPF Rehema Mkamba akigawa vifaa kwa ajili ya semina ya
wahariri wa vyombo vya habari katika semina ya mafao ya kustaafu
yaliyofanyika kwenye jengo la LAPF Tower jijini Dar es salaam.(P.T)
Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahariri TEF Bw. Thephil Makunga akizungumza jambo wakati
wa ufunguzi wa semina hiyo, kulia ni Amina Kassim Meneja wa LAPF Kanda
ya Mashariki na kushoto ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa
Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe.
Amina Kassim Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki akitoa mada katika semina hiyo
Amina Kassim Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki akisisitiza jambo mada katika semina hiyo.
Victor
Kikoti Meneja Matekelezo LAPF akitoa mada wakati wa semina ya Wahariri
wa Vyombo vya Habari kuhusu maadalizi ya mafao ya kustaafu iliyofanyika
kwenye jengo la LAPF Tower jijini Dar es salaam.
No comments