MBARAWA AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI NAMNA BORA YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANDA
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akifungua
mkutano wa Uwezeshaji viwanda baina ya China na nchi za Afrika
uliofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana), wa pili kutoka kulia ni
Balozi wa China nchini Dr.Lu Youqing.
Baadhi
ya Wajumbe wa mkutano wa Uwezeshaji viwanda baina ya China na nchi za
Afrika wakifuatilia hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), katika
mkutano wa Uwezeshaji viwanda baina ya China na nchi za Afrika.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akizungumza
jambo na Balozi wa China nchini Dr.Lu Youqing wakati wa mkutano wa
Uwezeshaji viwanda baina ya China na nchi za Afrika uliofanyika jijini
Dar es Salaam leo .
Balozi
wa China nchini Dr.Lu Youqing kulia akiongea na mmoja wa wajumbe wa
mkutano huo Prof. Ibrahim Lipumba mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa
uwezeshaji viwanda baina ya China na nchi za Afrika uliofanyika jijini
Dar es Salaam
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kushoto
akiongea na mjumbe wa mkutano huo mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa
Uwezeshaji viwanda baina ya China na nchi za Afrika uliofanyika jijini
Dar es Salaam leo
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kushoto
akifurahia jambo na Prof. Ibrahimu Lipumba mjumbe wa mkutano wa
Uwezeshaji viwanda baina ya China na nchi za Afrika uliofanyika jijini
Dar es Salaam leo.katikati ni Balozi wa China nchini Dr.Lu Youqing.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa tano kulia)
akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa mkutano wa Uwezeshaji
viwanda baina ya China na nchi za Afrika.
No comments