MBUNGE WA UKONGA MWITA WAITARA-AFUTURISHA WAPIGA KURA KWAKE
Waziri
Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward
Lowassa,akizungumza katika Futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Ukonga,
Mwita Waitara(Chadema) kwa wananchi wa jimbo hilo nyumbani kwake Kivule
Dar es Salaam juzi.
Waziri
Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward
Lowassa,akizungumza na waandishi wa habari baada aya kushiri Futari
iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita
Waitara(Chadema),nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.
Mbunge
wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema), akizungumza katika Futari
aliyowaandalia wananchi wa jimbo hilo nyumbani kwake Kivule Dar es
Salaam juzi.
Wananchi
wakifuturu Futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita

No comments