Wanadiplomasia wanaoshiriki ziara ya kitalii wakiwa katika geti la kuingia Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro. Bonde la Ngorongoro ni bonde (Crater) kubwa zaidi isiyo na mivunjiko duniani ikiwa na mandhari ya kipekee ya kuvutia na wanyama aina tofauti wakiwemo wanyama watano wakubwa duniani.
Post Comment