MIKOA INAYOTUMIA GRIDI YA TAIFA KUKOSA UMEME KUFATIA KUTOKEA HITILAFU LEO NOV 4, 2024
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema Mfumo wa Gridi ya Taifa umepata hitilafu leo Desemba 4, 2024 kuanzia saa 4:03 asubuhi na kusababisha Mikoa inayopata Umeme katika Gridi hiyo kukosa Umeme
Taarifa ya TANESCO imeongeza kuwa Wataalamu wao wanaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo cha hitilafu pamoja na kuhakikisha Mikoa yote inapata Umeme mapema ambapo pia imeeleza Nishati hiyo imeanza kurejea kwa awamu katika baadhi ya Mikoa iliyokosa Umeme.
No comments