Breaking News

HATUTOVUMILIA MNAOTAKA KUSHAMBULIA WATUMISHI

Jeshi la polisi kanda maaulum ya Dar Es Salaam linawaonya vikali na halitovumilia watu ambao wanataka kujenga tabia ya kuwashambulia watumishi wa Serikali wakati wakitekeleza majukumu yao kisheria licha ya kuwa wanafuata taratibu za kiutendaji lakini bado kuna tabia inataka kujengeka ya watu kutaka kuwashambulia watumishi wa serikali lwa sababu mbali mbali ambazo hazikubaliki”

"Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar Es Salaam halitasita kuchukua hatua kali za kisheria na za haraka dhidi ya wahusika ikiwa ni pamoja na kuwahoji na kuwakamata na kuwapeleka kwenye mamlaka nyingine za kutenda haki”. Alisema Kamanda Murilo

No comments