Breaking News

RC MAKALA WATAKA WATENDAJI WA KATA KUSAMIA ZOEZI LA USAFI

Timothy Marko
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala amewataka watendaji kuendelea kuhamasisha usafi katika Maeneo Yao.

Akizungumza katika kikao cha watendaji wa Serikali za mitaa jijini Dar es Salaam, Mhe. Amos Makala amesema zoezi la Kuhakikisha usafi katika maeneo yao kuwa endelevu.

"Lazima watendaji wa kata mkahakikishe kata zenu zote zinakuwa safi lazima hali hiyo iendelee". Alisema Rc Makala.

Makala alisema ni lazima wananchi wahakikishe Maeneo yao     yanakuwa Safi .

Aliongeza lazima watendaji wahimize usafi na kusisitiza kuwa kuwataka kudhibiti madampo yasiyo rasmi katika Maeneo Yao.

"Ninawataka watendaji lazima mhakikishe vikundi vyote vya jogging wana hamasishwa katika zoezi la usafi". Alisisitiza Rc Makala.

Aidah Rc Makala Aliomgeza kuwa lazima kila wilaya lazima iandae mabonanza yatakayokuwa yakiamasisha usafi.

No comments