KAMPUNI YA JATU PLC MKOMBOZI WA WANANCHI KIUCHUMI
Mwonekano wa banda la
JATU PLC katika Viwanja Vya Mwalimu JK Nyerere
sabasaba ambapo huduma mbalimbali zinzotolewa na kampuni hiyo mafunzo ya
ujasiliamali, kuunganishwa na mfuko wa bima ya afya, kununua Hisa kwa Tsh 2,500
na kupata gawio la faida kila mwaka kupitia hisa zako, kuunganishwa na SACCOS
ya JATU PLC.
Wakufunzi na Mawakala wa kampuni ya JATU PLC wakitoa semina kwa wananchi wanaotembelea banda lao katika fika Viwanja Vya Mwalimu JK Nyerere sabasaba, Kuhusu huduma mbalimbali zinazotelewa na kampuni Jijini Dar es salaam.
Wananchi waliotembelea
banda la JATU PLC wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na kampuni hiyo
sambamba kupewa maelezo jinsi zinavyozalishwa kwa ubora wa hali ya juu pamoja
na kupata fursa nzuri kujiunga kampuni hiyo na namna ya wanavyoweza kufaidika
pindi watakapo jiunga na miradi ya JATU PLC.
Baadhi ya bidhaaa
zinazozalishwa kampuni hiyo Unga wa Dona na Sembe katika kiwanda chao kilichopo
KIBAIGWA mkoani Dodoma sambamba na kuwaga gawio la kila mwezi kwa wateja wao
kutokana na kufanya manunuzi yake yeye na mtandao wake.
Kwa mawasiliano zaidi
fika Viwanja Vya Mwalimu JK Nyerere sababsaba, banda namba 56 karibu na banda
la maliasili au unaweza kuwasiliana nao kupitia namba +255653403916 au +255719292147.
Barua pepe info@jatu.co.tz pia unaweza kutembelea ukurasa wao
kuona shughuli zao zote katika www.jatu.co.tz
No comments