Shirika la Umeme
Tanzania(TANESCO),limekanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi iliyosema kuwa
vifaa vya mitambo ya Kinyerezi hatarini kwa kuuzwa.
Tanesco imekanusha taarifa hizo, kuwa
si za kweli ni upotoshaji kwa umma huku shirika hilo likidai linaendele na
ulipaji kodi.
No comments