Breaking News

SEMINA "MCHANGO WA IMAM KHOMEIN (R.A) ULIMWENGUNI YAFANYIKA DAR ES SALAAM

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salimu akiwasili Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.
Muasisi na Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo Tanzania Nabii Paulo Bendera akiwasili Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam. 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salimu akiongea na Hadhira katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.
Kiongozi Mkuu wa Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Hemed Jalala akiongea katika Semina inayozungumzia Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Jana Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.
Muasisi na Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo Tanzania Nabii Paulo Bendera akiwakilisha mada yake katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam
Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe.Mussa Farahang akitoa mada katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es alaam.
Mmoja wa Viongozi wa Waislamu Dhehebu la Shia Ithnasheriya akiongea katika Semina inayozungumzia Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Jana Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.
Muasisi na Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo Tanzania Nabii Paulo Bendera akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Hemed Jalala mara baada ya akiongea na Hadhira katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salimu akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Hemed Jalala mara baada ya akiongea na Hadhira katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.
Meza kuu viongozi katika Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni ambaye ni Muasisi wa Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiilamu ya Iran kwa kumuondoa Mfalme Shaah, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.
Washiriki wa Semina ya Mchango wa Imam Khomein (r.a) Ulimwenguni wakifatilia mada zilizokuwa zinawasilishwa, Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam.


No comments