OPERATIONI YA KUSAKA WASAMBAZJI WA POMBE ZA VIROBA YAANZA RASMI LEO JIJINI DAR
Meneja
wa viwanda kanda ya mashariki kutoka mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) bw Emmanuel Alphonce akizungumza na waandishi wa
habari mara baada ya kufanya ukaguzi katika ghala la kuhifadhia pombe aina ya
Nyati Spriritz Ltd katika oparation ya kusaka wasambazaji wa vinywaji hicho ambacho
serikali kimepigwa marufuku kutumika nchini kuanzia leo jijini dar es salaam,
Afisa
kutoka mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) bw Hanii Mohamed akikagua moja ya kinywaji
kilichokutwa katika ghala la kuhifadhia pombe aina ya Nyati Spriritz Ltd katika
oparation ya kusaka wasambazaji wa vinywaji hicho ambacho serikali kimepigwa
marufuku kutumika nchini kuanzia leo jijini dar es salaam,
Kutoka
kushoto meneja endeshaji wa kiwanda cha Nyati Spriritz Ltd bi Rupa Suchak,
katikati afisa mazingira kutoka (NEMC) bw Rogath Enock na afisa kutoka mamlaka
ya mapato Tanzania (TRA) bw Hanii
Mohamed wakiakagua nyaraka mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa zoezi la
ukaguzi katika ghala la kuifadhia pombe aina ya nyati spiritz ltd katika
oparation ya kusaka wasambazaji wa vinywaji hicho ambacho serikali kimepigwa
marufuku kutumika nchini kuanzia leo jijini dar es salaam,
Afisa
kutoka mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) bw Hanii Mohamed akikagua moja ya kinywaji
kilichokutwa katika ghala la kuhifadhia pombe aina ya Nyati Spriritz Ltd
Wafanyakazi
wa ghala la kuhifadhia pombe aina ya Nyati Spriritz Ltd wakifunga pombe hizo
katika makatoni
Shehena ya mzigo wa pombe
aina Nyati Spriritz ambayo imekutwa katika ghala hilo la kuhifadhia pombe la Nyati
Spriritz Ltd katika oparation ya kusaka wasambazaji wa vinywaji hicho ambacho
serikali kimepigwa marufuku kutumika nchini kuanzia leo jijini dar es salaam
Video meneja viwanda kanda ya mashariki akizungumzia ukaguzi
No comments