MKUU WA JESHI LA ULINZI TANZANIA ALA KIAPO CHA UADILIFU KWA VIONGOZI WA UMMA.
Kamishna
wa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu
Harold Nsekela akimpokea Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania(CDF), Jenerali
Venance Salvatory Mabeyo alipowasili katika Ofis za Sekretari hiyo kwa ajili ya
kula kiapo cha Uadilifu leo Jijini Dar es Salaam.
Kamishna
wa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu
Harold Nsekela(wapili kushoto) akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania
(CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo alipowasili katika Ofis za Sekretari
hiyo kwa ajili ya kula Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar
es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akila
Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Kulia
anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa
Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam
Mkuu
wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akitia
saini katika Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili
ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akipokea
Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kutoka kwa Kamishna wa Maadili
wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo
Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akila
Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Kulia
anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa
Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akitia
saini katika Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili
ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa
akipokea Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kutoka kwa Kamishna wa
Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold
Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu
MKuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa
akielezea jambo nje ya Ofisi za Sekretairieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma,
mara baada ya kula Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es
Salaam. Picha
na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments