KISA NA MKASA: JINSI WACHAWI WANAVYO TUMIA MAJI YA KISIMA KUTENGENEZA “UKIMWI WA KICHAWI ”.
IMESIMULIWA NA
DOKTA. MUNGWA KABILI.0744 000
473
Wachawi wana
uwezo wa kutengeneza
magonjwa mbalimbali kama vile
ugumba, udhaifu wa nguvu
za kiume, kifafa, upofu, ukichaa,
kiharusi, ukimwi nakadhalika.
Hapa mgonjwa
akienda kupimwa hospitali
anakutwa hana tatizo
wala ugonjwa wowote
lakini anakuwa anaonyesha
dalili zote za
ugonjwa husika. Ukiona
hali hiyo basi
ujue ugonjwa wako
umetengenezwa na wachawi.
Mara nyingi,ingawa
si mara zote, kabla
wachawi hawajamtupia mtu
ugonjwa husika,
hujidhihirisha kwanza kwa
kutumia njia zao
za kichawi kama
muhusika hana maradhi
wanayo taka kumsababishia.
Kama wakigundua
mhusika tayari anaugua maradhi wanayo taka
kumsababishia, basi
humtengenezea ugonjwa mwengine, na
ndumba ambazo zingetumika
kumsababishia maradhi mhusika, huelekezwa kwa
mtu mwingine ( Katika
ulimwengu wa wachawi, ndumba zina
gharama kubwa sana,
hivyo huwa hazitumiki
bila sababu wala
faida )
Kwa mfano
huko vijijini, kama wachawi
wanataka kumtengenezea mtu
ugonjwa wa kisukari, watataka kwanza
wajue kama mtu
huyo tayari ana maradhi
ya kisukari au
bado hajaanza kushambuliwa
na kisukari.
WACHAWI WANAJUAJE
KAMA MTU FULANI
ANA MARADHI YA
KISUKARI
Kujua kama
mtu Fulani ana
maradhi ya kisukari,
wachawi watafuatilia mienendo
ya mtu huyo kwa
lengo la kupata sehemu
atakayo kojoa. Siku
wakibahatisha kumuona mhusika amekojoa mahali, basi
watakwenda hadi kwenye
eneo alipokojoa na kusubiri
kwa muda wa
kuanzia dakika arobaini
hadi lisaa limoja.
Ndani ya muda
huo, KAMA WATATOKEA
SISIMIZI, basi ujue mtu
huyo ANA KISUKARI
lakini KAMA SISIMIZI
HAWATATOKEA basi ujue
mtu huyo HANA
MARADHI YA KISUKARI. Baada ya
kipimo hicho ndipo
watachukua hatua stahiki, za
ama kumsababishia maradhi
ya kisukari ama
vinginevyo ( KUHUSU NAMNA
WACHAWI WANAVYO TENGENEZA
“KISUKARI CHA KICHAWI”
NITAELEZEA SIKU ZIJAZO.)
Ukimwi wa
Kichawi : Katika ulimwengu
wa kitabibu, “ ukimwi wa
kichawi” ni pale mtu
anapo onyesha dalili
zote za muathirika
wa ukimwi, lakini vipimo
vya hospitali vinaonyesha
mtu huyo yupo ( HIV-NEGATIVE) yaani
bado hajaathirika .
Hapa mgonjwa
husika, atapimwa vipimo vyote
vya hospitali na
vyoote vitaonyesha hajaathirika, lakini ataendelea
kuonyesha dalili zote za
mgonjwa wa ukimwi . Mgonjwa huyu
ataendelea kuugua na
kuteseka bila kupata
nafuu yoyote licha
kutumia dawa mbalimbali, na mwisho
wa siku atapoteza
maisha yake.
Zipo njia
kuu mbili wanazo
tumia wachawi kusababisha
maradhi ya aina
mbalimbali kwa watu
mbalimbali. Njia ya kwanza, ni
kwa njia ya
kuwalisha dawa mbalimbali
za kichawi, ambazo husababisha
maradhi ya aina
mbalimbali ( WACHAWI WANA MAARIFA
MAKUBWA SANA JUU
YA MITI MBALIMBALI
INAYO SABABISHA MARADHI NA
MATATIZO MBALIMBALI )
Njia ya
pili ni kwa
njia ya majini. Hapa mgonjwa husika, atasababishiwa maradhi
ya aina Fulani
kwa kutumiwa majini
majini ambayo yameapishwa
kwenda kufanya makazi
yao kwenye damu
ya mtu aliekusudiwa
na kusababisha maradhi
Fulani kwa mtu
huyo, hadi pale umauti
utakapo mkuta.
Katika kutengeneza “ ukimwi wa
kichawi “ pia zipo njia
kuu mbili zinazo
tumiwa na wachawi.
Njia ya kumlisha
mkusudiwa ndumba za kichawi ambazo
husababisha mtu kuugua maradhi
yanayo fanana dalili
zake na maradhi
ya ukimwi na
njia ya pili
ni kumtupia majini
ambayo yatamfanya augue
maradhi yanayo fanana
na ukimwi.
Leo tutaangalia
njia ya kwanza, yaani njia
ya kumlisha ndumba
za kichawi mtu
aliye kusudiwa. Tutaangalia njia
wachawi wanavyo weza
kumlisha mtu uchawi, utakao msababishia
maradhi ya ukimwi
na jinsi unavyo weza
kujikinga dhidi ya
husda hiyo, na kwa
wale ambao tayari wameshalishwa
uchawi huo, jinsi wanavyo weza
kusaidiwa kupata tiba ya
kuondoa maradhi hayo
ya kichawi mwilini.
Zipo
njia zaidi ya
arobaini ambazo wachawi
wanaweza kuzitumia,
kutengeneza uchawi na
kumlisha mtu, ambao utamsababishia kuugua
maradhi ambayo dalili
zake zinafanana na
ukimwi. Leo tutaingalia njia
moja wapo kama
ifuatavyo
JINSI WACHAWI
WANAVYO TUMIA MAJI
YA KISIMA KUTENGENEZA
“ UKIMWI WA KICHAWI “
Awali ya
yote, wote tunapaswa kufahamu
kwamba katika ulimwengu
wa tiba za
jadi “ MAJI” yanaweza kutumika
kama TIBA na
wakati huo huo, yanaweza
kutumika kama “ UCHAWI
WENYE KUDHURU”
Maji yenyewe
kama yenyewe, bila kuchanganya
na kitu chochote
kile, yanaweza kutumika kama
tiba ya magonjwa
karibu yoote unayo
yafahamu, kuanzia kisukari, kifafa, ugumba, udhaifu katika
nguvu za kiume, kuongeza urefu
wa maumbile ya
kiume ( HAPA HUTUMIKA MAJI YAITWAYO
MAJI YA FATIRU ), fangasi za
sehemu za siri, magonjwa ya
ngozi, nakadhalika.
Sio tu katika
kutibu magonjwa na
maradhi mbalimbali, maji pia hutumika
kama tiba dhidi
ya matatizo mbalimbali
ya kimaisha kama vile kuondoa
nuksi, mikosi nakadhalika.
Vile vile
maji yanaweza kutumika
katika kutengeneza uchawi
wenye kudhuru, wa aina
mbalimbali.
(
KATIKA SIKU ZINAZO
KUJA, NITAWEKA SOMO KUHUSU
TIBA MBALIMBALI ZA
JADI KWA NJIA
YA MAJI BILA
KUSAHAU, JINSI WACHAWI
WANAVYO TUMIA MAJI
KUTENGENEZA UCHAWI WENYE
KUDHURU WA AINA MBALIMBALI )
Katika ulimwengu
wa tiba za
jadi, maji ya mtoni, baharini, ziwani, kisimani,
kwenye dimbwi nakadhalika, huweza kutumika
eidha kama tiba
ya magonjwa mbalimbali au
kama uchawi wa aina
mbalimbali.
Kinacho yapa
maji hayo kuwa
na nguvu ya
kitabibu, ni njia zilizo tumika
kuyachukua maji hayo. Kila
maji yanatumika katika
tiba yake na
uchawi wake. Maji ya
mtoni yana tiba zake
na uchawi wake, maji
ya ziwani, maji ya
baharini, kisimani nakadhalika.
Mfano
mdogo, maji ya mtoni
yanaweza kutumika katika
kutengeneza uchawi unaoitwa
“ NSUNKWA” ambao ni maalumu
kwa ajili ya kumuhamisha
adui yako, aende kuishi mbali
na wewe.
Kila
aina ya
maji yana taratibu
yake namna ya
kuyachukua na kuyatumia
katika eidha tiba
au uchawi.
Leo tutaona
jinsi wachawi wanavyo
tumia maji ya
kisima, katika kutengeneza maradhi
ya ukimwi.
Katika kutengeneza
ukimwi wa kichawi, wachawi hufanya
kama ifuatavyo :
Kwanza wanachukua
maji ya kisima
kisicho kauka .Pili wanachukua
kitovu cha mtoto mchanga
kilichodondoka chenyewe (
Kuweni makini sana
na vitovu vya
watoto wenu )
Tatu wanachukua
“ Tegelo” ; Kwa wale wasio
fahamu Tegelo ni mfuko wa
chakula cha kuku
na chakula chake.
Tegelo na kitovu
cha mtoto, vinachanganywa na dawa
zingine za aina kumi
na tatu ( sitazitaja zote
kwa sababu za
kimiiko ya kazi
yangu: kuna watu wabaya wanaweza
kujifunza kitu hapo na
kwenda kuwaumiza watu )
Vikishachanganywa vinachomwa
vyote kwa pamoja, kisha
vinaenda kupikwa njia
panda usiku wa manane kwenye
hayo maji ya
kisima, pamoja na mafuta
ya usiku. Baada
ya hapo linafanyika
tambiko maalumu kisha
vitu hivyo vinaenda
kuzikwa kaburini kwa
muda wa siku
saba. Baada ya
hapo uchawi huo utakuwa
umekamilika.
JINSI
WANAVYO TEGA UCHAWI
HUO : Uchawi huo
hupitia kwenye chakula ( sana sana “
mboga yenye mchuzi “), au
kinywaji.
Mtu atakae
lishwa uchawi huu
ataanza kuonyesha dalili
za ugonjwa wa
ukimwi, kulingana na muda
alio nuiziwa, kama amenuiziwa aanze
kuugua baada ya miezi sita, basi
baada ya miezi
sita kweli ataanza
kuugua maradhi hayo, kama ni
mwezi mmoja ni mwezi mmoja.
Mkilishwa mke
na mume, basi mke na mume
wote mtaugua maradhi hayo. Mkilishwa familia nzima, basi familia yote
mtaugua maradhi hayo
mmoja baada ya
mwingine. Ndio maana baadhi ya
familia unakuta watu wote
ni waathirika.
Na kama
mtalishwa kwenye sherehe , au msiba, basi watu
wote mtaugua maradhi
ya ukimwi, isipokuwa tu
wale wenye kinga
zao.
TIBA YAKE.
Zipo tiba
za aina nyingi
ambazo zinatibu maradhi
haya ya kutengenezwa. Leo tutaangazia
tiba moja wapo.
Kama
una muuguza mgonjwa ameugua
maradhi haya kwa
muda mrefu, bila nafuu
yoyote. Ameenda kupima hospitali
akaambiwa hajaathirika
lakini bado anaendelea
kuonyesha dalili za
mtu aliye athirika, basi fanya
kama ifuatavyo:
==>Moja
chukua dawa inaitwa
Mlali, pili chukua dawa inaitwa
Hangachalo,. Tatu chukua dawa
inaitwa Tarigula, Nne chukua
dawa inaitwa Mwinula, Tano; chukua dawa
inaitwa Mzima
==>Dawa hizi
zitachemshwa pamoja na kisu
kikiwa kimesimama ndani,
kisha unampa mgonjwa wako
anakuwa anakunywa mara tatu
kwa siku asubuhi
mchana na jioni
kwa siku thelathini., Na nyingine
unakuwa unampiga nayo mgongoni
kila anapokuwa anakunywa.
Atatapika uchawi
wote,na ndani ya
siku arobaini, inshaalah uchawi
na sumu yote
itakuwa imetoka mwilini
na atarejea katika
hali yake ya
kawaida.
KINGA
: Kinga
ni bora, kuliko tiba.
Kujiepusha na shari
kama hii, unatakiwa uwe
na kinga bora.
Zipo kinga
nyingi bora, ila leo nitaelezea
kuhusu kinga moja. Kinga
hii inatengenezwa kwa mchanganyiko wa
miti na vizimba zaidi
ya mia moja
na ishirini . Moja kati
ya vizimba vilivyopo
katika kinga hii, ni mti mmoja ambao
haupatikani popote pale
duniani isipokuwa mkoa
wa Kigoma tu.
Ukiwa na
kinga hiyo, na ikatokea
umelishwa uchawi wa aina
yoyote ile utautapika, na aliye
kuwekea uchawi huo, atapata
madhara makubwa.
Source
mpekuzi blog
No comments