PICHA 8: MELI KUBWA YA KISASA YA AZAM YATIA NANGA BANDARI YA TANGA KWA MARA YA KWANZA
Meli mpya na ya
kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao
1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga
Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.
Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.
No comments