Naibu
kiongozi Mkuu wa waislam Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Muhammad
Abdi akiwaongoza waumini wa Dini hiyo kuchangia damu kwa watanzania
wanaohitaji damu ikiwa ni zoezi ambalo limefanyika kuadhimisha
kumbukumbu ya kifo cha Mjukuu wa mtume Muhammad (s.a.w.w) Imam Hussen
(a,s) ambaye naye alijitolea Damu yake kwa ajili ya kutetea haki na
Ubinadamu na kupinga kila aina ya unyanyasaji na dhuluma anayofanyiwa
mwanadamu.Zoezi hili limefanyika katika msikiti wa Kigogo Post mara
baada ya swala ya Ijumaa. |
No comments