RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu Nchemba wakati alipofika
kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na
Ikulu.] 04/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu Nchemba wakati alipofika kujitambulisha
Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 04/10/2016.
No comments