TFS WASAINI MKATABA WA KUUZIANA MALIGHAFI YA MITI AINA YA MISINDANO NA MIKARATUSI NA KIWANDA CHA KARATASI CHA MUFINDI (MPM)
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof. Dos
Santos (kulia) akizungumza katika hafla fupi ya kusainiana mkataba wa
kuuziana Malighafi ya miti aina ya Misindano na Mikaratusi baina ya
Wakala huyo na kiwanda Kiwanda cha Karatasi cha Mufindi ( MPM)
yaliyofanyika jijini jana Dar es Salaam . ( Picha na Lusungu Helela,
Wizara ya Maliasili na Utalii)
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof. Dos
Santos (kulia) na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufindi ( MPM)
Jaswart Singhrai wakisaini mkataba wa kuuziana Malighafi ya miti aina
ya Misindano na Mikaratusi baina ya Wakala huyo na kiwanda hicho
yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam . ( Picha na Lusungu Helela,
Wizara ya Maliasili na Utalii)
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof. Dos
Santos (kulia) akibadilishana hati ya mkataba wa kuuziana Malighafi ya
miti aina ya Misindano na Mikaratusi na Mkurugenzi wa Kiwanda cha
Karatasi cha Mufindi ( MPM) Jaswart Singhrai jana jijini Dar es Salaam.
( Picha na Lusungu Helela, Wizara ya Maliasili na Utalii)
No comments