RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI NDEGE MBILI MPYA ZILIZONUNULIWA NA SERIKALI
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na maafisa
na viongozi wengine mbalimbali akikata utepe kuzindua rasmi ndege mbili
mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru
Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles baada ya kukata utepe kuzindua
rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali
kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakiingia kwenye ndege mojawapo baada ya kukata utepe
kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na
serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli pamoja na maafisa wengine waandamizi wakiwa kwenye ndege
mojawapo baada kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400
zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania
(ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano
Septemba 28, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakitoka kwenye ndege mojawapo na kuelekea ingine baada
kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na
serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza
mmoja wa wafanyakazi kwenye ndege mojawapo baada kuzindua rasmi ndege
mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili
ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe akishuka kwenye ndege
mojawapo baada kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400
zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania
(ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano
Septemba 28, 2016.
Mstahiki
Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe Isaya Mwita akishuka kwenye ndege
mojawapo baada ya Rais Magufuli kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya
Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege
la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam
leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Mstahiki
Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe Isaya Mwita na Meya wa Halmashuri ya
Manisapaa ya Temeke Mhe Abdallah Chaurmebo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya
Ilala Mhe Sophia Mjema wakijiandaa kupiga picha ya kumbukumbu mara baada
ya Rais Magufuli kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400
zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania
(ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano
Septemba 28, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Mama Janeth
Magufuli pamoja na viongozi wengine waandamizi katika picha ya
kumbukumbu na watumishi na viongozi wa ATCL mara baada ya Rais Magufuli
kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na
serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Mama Janeth
Magufuli pamoja na viongozi wengine waandamizi katika picha ya
kumbukumbu na Brass band ya Polisi mara baada ya Rais Magufuli kuzindua
rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali
kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli wakiagana na wafanyakazi wa ATCL baada ya uzinduzi rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016. PICHA NA IKULU
No comments