ALEX MSAMA ATOA MKONO WA IDD KWA VITUO SITA VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa kutoa zawadi za vitu mbalimbali kwa vituo 6 vya kulelea
watoto wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dar es Salaam, leo
ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Sikukuu ya Eidd el Fitr. Zawadi hizo
zimetokana na fedha zilizopatikana katika Tamash la Pasaka.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (kulia),
akimkabidhi mlezi wa Kituo cha Kulelea watoto Yatima cha Irshaadi, Juma
Kaseja, sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa ajili ya Sikukuu ya Eidd
el Fitr, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
Baadhi ya watoto waliohudhulia hafla hiyo.
Msama akitoa zawadi za Sikukuu ya Eid el Fitr.
Baadhi ya vitu mbalimbali vilivyotolewa na kampuni ya Msama Promotions Ltd,mapema leo jijini Dar katika
vituo sita.
Baadhi ya watoto waliohudhulia hafla hiyo
.

Watoto wakipokea zawadi.
Msama akigawa zawadi mbalimbali kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Msama akimkabidhi mtoto Fahari Haji vitu mbalimbali kwa ajili ya Sikukuu ya Eid el Fitr.

No comments