WANAFUNZI WALIOFAULU WAMEPANGIWA SHULE ZA BWENI NA KUTWA
Dar es salaam - Shule za Sekondari za Serikali walizopangiwa wanafunzi zipo katika makundi mawili ambayo ni Shule za Bweni na Shule za Kutwa.
Shule za Sekondari za Bweni za Serikali zimegawanyika katika makundi matatu ambayo ni; Shule za Sekondari za Bweni za Wanafunzi wenye ufaulu wa Juu (Special
Schools), Shule za Amali za Kihandisi (Ufundi) na Bweni Taifa.
Shule za Bweni ni za Kitaifa hivyo, zimepangiwa Wanafunzi kutoka
maeneo mbalimbali ya nchi kwa kuzingatia mgawanyo wa nafasi uliobainishwa na vigezo vilivyowekwa ili kuimarisha Utaifa
No comments