Breaking News

ADO AJIANDIKISHA TUNDURU

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amejiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Ngalinje, Kata ya Mchangani Wilayani Tunduru.


No comments