Breaking News

RAIS WA AWAMU YA PILI ALI HASSAN MWINYI AMEFARIKI DUNIA

Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki Dunia, leo Februari 29, 2024 akiwa na Miaka 98

Taarifa hiyo imetolewa usiku huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Februari 2, 2024 Familia ya kiongozi huyo ilitangaza kuwa amelazwa Hospitali kwaajili ya Matibabu baada ya kuugua

No comments