Breaking News

Mahafali Ya 17 Chuo Cha TIOB Yafana.Jijini Dar.

Gavana wa benki kuu ya Tanzania (BOT) Prof Benno Ndulu akizungumza katika mahafali ya 17 ya chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB) yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar.

Mkurugenzi mtendaji wa chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB) Bw. Patrck Mususa akifafanua jambo katika mahafali ya 17 ya chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB) yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar.


Gavana wa benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Benno Ndulu akiongeza matembezi tayali kuanza kwa mahafali ya 17 ya chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB) yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar es salaam.

Wahitimu wa ngazi mbali mbali wakimsikiliza Gavana wa benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Benno Ndulu (hayupo pichani) katika mahafali ya 17 ya chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB) yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar.
Mshindi wa pili wa Banking Certificate Programme Bi Mariam H Mahige akipokea zawadi kutoka kwa Gavana wa BOT Profesa Benno Ndulu fedha taslimu Tsh Laki 4 katika mahafali ya 17 ya chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB) yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar.

No comments