Dc Mtaturu Akutana Na Wadau Wa Elimu Wilaya Ya Ikungi Waishio Dar Es Salaam Na Pwani.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam

Mdau wa Mfuko wa elimu Wilaya ya Ikungi ambaye pia ni Afisa elimu Mkoa wa Dar es salam Mwalimu Khamis Lissu akichangia namna ya kuboresha elimu wilaya ya Ikungi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam
Wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu katika Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akisalimiana na Mzee Mjengi Gwau wakati wa kikao cha Wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani katika, Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017 katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam.
Mdau wa Mfuko wa elimu Wilaya ya Ikungi
Ndg Nkrumah Munjori akichangi namna ya kuboresha elimu wilaya ya Ikungi mbele ya Mkuu wa
Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam
Wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu katika Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi Alhaji Salumu M. Chima Akielezea hatua zilizofikiwa na kamati ya Mfuko wa elimu Wilaya ya Ikungi na wadau wa mfuko huo waishio Dar es salaam
Mdau wa Mfuko wa elimu Wilaya ya Ikungi
Mzee Mjengi Gwau akichangia namna ya kuboresha elimu wilaya ya Ikungi mbele ya Mkuu wa
Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam
Mdau wa Mfuko wa elimu Wilaya ya Ikungi
ambaye pia ni Afisa elimu Mkoa wa Dar es salam Mwalimu Khamis Lissu
akifatilia kwa makini kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam
Mdau wa Mfuko wa elimu Wilaya ya Ikungi
Bi Khadija Kiimu akichangia namna ya kuboresha elimu wilaya ya Ikungi mbele ya Mkuu wa
Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam
Mdau wa Mfuko wa elimu Wilaya ya Ikungi
Ndg Omary Gwati akichangia namna ya kuboresha elimu wilaya ya Ikungi mbele ya Mkuu wa
Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam
Mdau wa Mfuko wa elimu Wilaya ya Ikungi
Ndg Josephat Bulali akichangia namna ya kuboresha elimu wilaya ya Ikungi mbele ya Mkuu wa
Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na
Mkoa wa Pwani Dhifa iliyofanyika leo Septemba 10, 2017katika Hoteli ya Lamada Jijini Dar es salaam.
Na Mathias Canal, Dar es salaam
Mkuu
wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu leo Septemba 10, 2017
amefanya kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar
es salaam na Mkoa wa Pwani ili kuwaeleza dhamira ya kuanzishwa kwake ikiwa ni
pamoja na kukuza ufanisi na kiwango cha ufaulu katika Wilaya hiyo.
Katika
kikao hicho wadau wamechangia jumla ya shilingi milioni 3,900,000 ikiwa ni
ahadi, Mifuko 100 ya saruji na rasilimali hamasa kwa vijana wa waliohitimu
masomo ya sayansi katika vyuo mbalimbali nchini watakaojitolea kufundisha
katika shule zenye upungufu wa walimu sayansi katika Wilaya ya Ikungi.
Mhe
Mtaturu amewaeleza washiriki wa kikao hicho namna ambavyo Uongozi wa Wilaya
umejipanga kwa kuhusisha michango ya wadau na nguvu za wananchi kwa ujumla kwa
kuchangia rasilimali fedha ama viwezeshi kama vile saruji, mchanga, kokoto na
vitu vifaa vingine vya ujenzi.
Akizungumza
katika kikao hicho kilichofanyika Lamada Hotel Jijini Dar es salaam akiwa
ameambatana na Mwalimu Athumani Salum ambaye ni Afisa elimu Sekondari wa Wilaya
ya Ikungi, Mhe Mtaturu alisema kuwa zipo changamoto mbalimbali zinazoikabili
sekta ya elimu Wilayani Ikungi ikiwa ni pamoja na Upungufu wa nyumba za walimu,
Vyumba vya madarasa, Ofisi za walimu, Maabara, Thamani mbalimbali, Matundu ya
vyoo vya walimu na wanafunzi.
Mhe
Mtaturu aliwaeleza wadau hao wa Mfuko wa elimu kuwa Wazo la kuanzisha Mfuko wa
Elimu lilitokana na kikao cha wadau wa elimu alichokiitisha mwezi Disemba, 2016
na kubaini changamoto zinazoikabili sekta ya elimu ikiwemo kushuka kwa ufaulu
wa wanafunzi kuanzia elimu ya msingi mpaka Sekondari.
Alisema
Kikao hicho kuliadhimiwa maazimio 43 ambayo yalizaa wazo la kuanzisha mfuko wa
elimu ambapo wazo hilo lilifikishwa kwenye baraza la madiwani na kupokelewa kwa
kauli moja ndipo mwezi Aprili mwaka 2017 baraza liliridhia kuanzishwa mfuko na
kuteua wajumbe 15 wa bodi ya mfuko wa elimu wa Wilaya ya Ikungi.
Mhe
Mtaturu alisema kuwa ili kukabiliana na changamoto zote hizo Bodi ilibainisha
kuhitajika jumla ya fedha taslimu shilingi bilioni 28.
Hata
hivyo Baada ya vikao mbalimbali vya maamuzi Bodi ya mfuko wa elimu
imebainisha mpango mkakati wa miaka mitatu kwa mtazamo wa Shule zenye
hali mbaya zaidi hivyo kuandaa makadirio ya gharama za shilingi Bilioni 3.
Mhe
Mtaturu alisema kuwa ili kufanikisha mpango huu kwa wakati husika Bodi ilitoa
mapendekezo ya wadau watakoombwa kuchangia mfuko ikiwemo Halmashauri ya Wilaya
ya Ikungi kuchangia 3% ya mapato yake ya ndani.
Sambamba
na hayo pia alielezea mikakati mbalimbali katika sekta ya kilimo ikiwa ni
pamoja na kilimo ambapo alisema wananchi wengi wanafanya kilimo cha kujikimu
badala ya kilimo cha biashara hivyo ili kukuza ufanisi wa pato la mkulima
Uongozi wa Wilaya ya Ikungi umekusudia kutatoa miche ya mbegu za korosho
500,000 bure kwani ni zao rahisi kulima lisilohitaji uangalizi wa muda mrefu.
Alieza
pia namna Wilaya hiyo ilivyojipanga katika sekta ya Afya, Miundombinu, Sekta ya
Maji, na kuimarisha hali ya usalama ili wananchi kufanya kazi zao kwa ufasaha
pasina wasiwasi wowote.
Kwa
upande wa wadau wa elimu Wilaya ya Ikungi walimpongeza Mkuu huyo wa Wilaya ya
Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu kwa kuanzisha mfuko wa elimu wa Wilaya pamoja
na kuwashirikisha namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali wilayani humo.
Wamemuhakikishia
kuwa watatoa ushirikiano wa hali na mali ili kuinua sekta ya elimu na kuchagiza
ufanisi wa kukuza maendeleo katika Wilaya hiyo na Taifa kwa ujumla wake.
No comments