PICHA; RAIS MSTAAFU ALHAJ ALLY HASSAN MWINYI KATIKA SHEREHE YA UHURU WA KUWAIT JIJINI DAR.
Rais
Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya mchoro toka kwa Balozi wa
Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya
Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa
nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto ni waziri wa mambo
ya nchi za nje Dkt. Andrew Mahiga
Rais
Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akikata keki na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem
katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya
mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es
salaam usiku huu. Kushoto ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Andrew Mahiga

Keki
ya hafla hiyo ya kusherehekea Miaka 54
ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika ubalozi
wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu.
Rais Mstaafu Alhaj Ally
Hassan Mwinyi akiwa katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya
Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo
Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu. Kulia kwake ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Andrew
Mahiga
No comments