PICHA 6:MAKAMU WA RAIS NA JAJI MKUU KWA MDA TOFAUTI JANA WAMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika
amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa
ajilia ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job
Ndugai pamoja na Mke wa Spika Dkt. Fatma Mganga (kulia) alipofika
kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi
karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi
pamoja na matibabu ya Afya yake.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande
Othman akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mke wa Spika Dkt Fatma Mganga. Spika amerejea nchini
hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya
uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande
Othman aliyefika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika
amerejea nchini hivi karibuni kutoka India ambapo alikwenda kwa ajili ya
uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akifurahia jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande
Othman aliyefika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika
amerejea nchini hivi karibuni kutoka India alipokwenda kwa ajili ya
uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.(Picha na Ofisi ya Bunge)
No comments