Breaking News

MHE. ANGELINA MALEMBEKA ASHIRIKI MAHAFALI YA SHULE YA FAHARI DAY CARE, NURSERY SCHOOL JIJINI DAR

Mgeni rasmi Mbunge viti maalumu Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mhe. Angelina Malembeka akizungumza katika mahafali ya shule ya Fahari day Care and Nursery Shool yaliyofanyika shuleni hapo Gongo la mboto 4 December 2021 jijini Dar es salaam.
Mkuu wa shule ya Fahari Day Care and Nursery Shool, Bi. Neema Mchau akiongea katika mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika shuleni hapo Gongo la mboto 4 December 2021 jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya shule ya Fahari Day Care and Nursery Shool, Bi. Amina Mongi akifafanua jambo katika mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika shuleni hapo Gongo la mboto 4 December 2021 jijini Dar es salaam.

Mgeni rasmi Mbunge viti maalumu Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mhe. Angelina Malembeka akikabidhi cheti kwa mmoja wahitimu katika mahafali ya shule ya Fahari day Care and Nursery Shool yaliyofanyika shuleni hapo Gongo la mboto 4 December 2021 jijini Dar es salaam.


Wazazi na walezi wa wanafunzi katika katika mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika shuleni hapo Gongo la mboto 4 December 2021 jijini Dar es salaam.
Watoto wa shule ya Fahari Day Care and Nursery Shool wakisoma risala kwa mgeni rasmi Mbunge viti maalumu Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mhe. Angelina Malembeka (hayupo pichani) katika mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika shuleni hapo Gongo la mboto 4 December 2021 jijini Dar es salaam.

 

No comments