VIONGOZI WA UMMA WATAKIWA KUWA NA MAADILI MEMA ILI KUMUENZI MWALI JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella
Manyanya akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mhe.
Phillip Mangula mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu Maadili ya Viongozi
wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere
lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere(MNMA).Kutoka kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack
Mwakalila, Mwenyekiti wa Kongamano hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri
msaafu Mhe. Anne Makinda.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph
Butiku akiwasilisha mada kuhusu Miiko ya Uongozi wakati wa Kongamano la
Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar
es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).
Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa
Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mhe. Phillip Mangula akiwasilisha
mada kuhusu Maadili ya Viongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi
za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi
wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika
ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia
Balozi mstaafu Ibrahim Kaduma akiwasilisha mada kuhusu Maadili ya
Viongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius
Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni
kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za
Mwalimu Julius Nyerere wakifuatilia mada kutoka kwa wawasilishaji ambao ni Mhe.
Phillip Mangula, Joseph Butiku, Ibrahim Kaduma na Dkt. Harun Kondo, mada
zilizowasilisha ni pamoja na Miiko ya Uongozi, Azimio la Arusha na Maadili ya
Viongozi.
Mchumi
Mwandamizi Profesa Ibrahim Lipumba akichangia mada wakati wa Kongamano la
Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar
es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho
hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl.
Nyerere afariki dunia
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Stella Marios cha Mtwara
Padre, Dkt. Charles Kitima akichangia
mada wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere
lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za
miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Watoa mada wakinukuu michango ya washiriki wa Kongamano la
Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar
es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).
Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa
Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM –
Bara, Mhe Phillip Mangula, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere,
Mzee Joseph Butiku, Balozi mstaafu Ibrahim Kaduma na Mwanasiasa Mkongwe Mhe.
Wilson Mkama.
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere
wakiangalia baadhi ya maandiko na machapisho aliyoandika Hayati Baba wa Taifa,
Mwalimu Julius Nyerere enzi za uhai wake yanayochapishwa na Mkuki na Nyota Publisher
leo Jijini Dar es Salaam wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za
Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika
ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella
Manyanya akiteta jambo na mmoja wa washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya
Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam
katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).Naibu Waziri huyo
ndiye alikuwa mgeni rasmi katika Kongamano hilo. Lililokuwa limebeba nukuu ya
Mwalimu Nyerere isemayo “Viongozi ni lazima wawe mfano mzuri kwa wananchi kwa
maisha yao na vitendo vyao pia”.
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye
pia alikuwa Mwenyekiti wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu
Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA) akiagana na washiriki.
Picha na. Frank Shija, MAELEZO.
Post Comment
No comments